Hunter alijidai kuwa Justin Bieber ili watoto wamtumie kanda za video za ngono
Rober Hunter aliwahidi watoto kuwa angekuwa na uhusiano wa kimapenzi nao
Mwanamume mmoja nchini katika kitongoji cha
Middlesbrough, Uingereza aliyejidai kuwa mwanamuziki maarufu duniani ,
Justin Bieber, ili kuwahadaa watoto kuweza kumtumia kanda za video
wakiwa wanafanya vitendo vya ngono, amehukumiwa kifungo cha miaka 14
jela.
Robert Hunter, mwenye umri wa miaka 35, na
ambaye alijidai kuwa 'Justin Bieber Hunter 'alikamatwa baada ya msichana
mmoja kutoka Tasmania kufahamisha polisi kumhusu.Polisi walimkamata nyumbani kwake akiwa na