WAENDESHA BODA BODA 300 WILAYANI RUNGWE WATUNUKIWA VYETI VYA UDEREVA PAMOJA NA LESENI.
| Baadhi ya Pikipiki zinazoendeshwa na vijana Wilayani Rungwe waliotunukiwa vyeti na Leseni na Mkuu wa Wilaya hiyo Crispin Meela baada ya kumaliza mafunzo. |
| Afisa Biashara wa Wilaya ya Rungwe, Prince Mwakibete akisoma majina ya madereva wanaostahili kutunukiwa vyeti na mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispin Meela. |
| Dereva wa Bodaboda Baraka Mwasile akisoma risala kwa niaba ya madereva wenzie kabla ya kuanza kwa zoezi la kuwatunuku Vyeti na Leseni zao. |
| Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Noel Mahyenga akizungumza na Madereva wa bodaboda na kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ili akabidhi vyeti na Leseni. |
| Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispini Meela akizungumza na Madereva wa bodaboda kabla ya kuanza kwa zoezi la kuwatunuku vyeti na leseni za kuendeshea pikipiki kwa vijana 300 wa Wilaya hiyo. |
| Mkuu wa Wilaya ya Rungwe akimkabidhi cheti dereva wa bodaboda kwa niaba ya wenzie 300 katika hafla iliyofanyika nje ya jengo la ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tukuyu mjini. |
| Baadhi
ya madereva wa Bodaboda wakifuatilia kwa makini zoezi la kutunuku vyeti
lililokuwa likifanywa na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.
IMEELEZWA kuwa |