Jumatano, 2 Oktoba 2013

MBEYA YAGEUKA KUWA UWANJA WA MAPIGANO..!

PICHA LIVE: TAZAMA TUKIO ZIMA LA WAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA ZENYE THAMANI YA THS 800,000 JIJINI MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.

 Polisi wakiwa katika ulinzi mkali 
 Maduka yakiwa yamefungwa 
 Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yao
 Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
 Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
 Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
 Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia 
 Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
 Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....


KINACHOENDELA MWANJELWA MBEYA NI MAJONZI KWA WASIOJIWEZA


TAIRI ZACHOMWA OVYO OVYO
 
WAZEE WA KAZI NAO HAWAKO NYUMA NI MWENDO WA KAMATA KAMATA
 
HII NI MPAKA LINI JAMANI?
 
MABOMU YANAOKOTWA KAMA KARANGA  
 
MAISHA YANAENDELEA
 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2014..ARSENAL,CHELSEA ZANG'ARA


OLLIVIER GROUD AKIWANIA MPIRA KATIKATI YA MABEKI WA NAPOLI

AARON RAMSEY ALIVYOTENGENEZA GOLI LA KWANZA KWA ARSENAL

MIKEL ARTETA NA MESUT OZIL WAKIFURAHIA BAADA YA KUPATA USHINDI WA GOLI 2 BILA DHIDI YA NAPOLI
 
ZENIT O-O AUTRIA WIEN
 
FC PORTO 1-2  CLUB ATLETICO
 
 
CELTIC FC O-1 BARCELONA FC

AFC AJAX 1-1 AC MILAN
 
 
 
FC BASEL 1893 O-1 FC SCHALKE 04
 
 
RAMIRES AKIIPATIA CHELSEA GOLI LA KWANZA DAK 20,55"
 
STEAUA O-4 CHELSEA
 
 
 
 
BORUSSIA DORTMUND 3-O OLYMPIQUE DE MARSEILLE

Picha zote na Mwandishi Huru Blogs' 

Jumanne, 1 Oktoba 2013

MUIGIZAJI MAARUFU WA BONGO MOVIE IRENE UWOYA AACHANA NA MAMBO YA KUIGIZA


 
 Mwigizaji Irene Uwoya ambae alipata tuzo ya Steps kama mwigizaji bora kike 2012/2013 amethibitisha kuacha kuigiza movie kwa sasa ili kufanya kazi ambayo ameianza hivi karibuni.

KAMERA YETU NA MATUKIO KATIKA PICHA

JIJI LA DAR ES SALAAM LAKUMBWA NA MAFURIKO SIKU YA JANA BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUSABABISHA MAENEO KADHAA KUWA NA USAFIRI WA TAABU KAMA INAVYOONEKA HAPA MAENEO YA TAZARA KANDOKANDO YA BARABARA YA NYERERE 
WANAFUNZI WA DARASA LA NNE NA LA TANO KATIKA SHULE YA MSINGI MAKTABA JIJINI DAR ES SALAAM WAKIONESHA UMAHIRI WAO WA KUCHEZA
HAWA NI BAADHI YA WASAFIRI WALIOKUWA WANASAFIRI KUTOKA BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM KUELEKEA MSANGA WAKIWA WANANING'INIA JUU YA MABOMBA YA GALI.
WAZIRI MKUU MH.MIZENGO PINDA (KULIA) NA MAKAMU WA RAIS DR. MOHAMED GHARIB BILAL WAKISALIMIANA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO NDUGU JAKAYA KIKWETE ALIPOWASIRI KUTOKA KATIKA ZIARA YAKE YA CANADA NA MAREKANI.