Alhamisi, 28 Novemba 2013

SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO TAREHE 28/11/2013

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

MATUKIO KATIKA PICHA

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKIFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO MIJI JIJINI DAR ES SALAAM JANA
HUWA INATOKEA SHERIA MARA NYINGINE NI RAHISI SANA KUVUNJWA...ONA HELMET WANAYO LAKINI HAIJAVALIWA
WAKAZI WA KIJIJI CHA KIPARA WILAYA YA RUNGWE WAKIMKARIBISHA KATIBU WA CCM ABDULAHMAN KINANA

Jumatano, 27 Novemba 2013

SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO HAPA

. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
. 
.

AFRIKA KATIKA PICHA

http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125141025__71291609_01_afp.jpg 
Shabiki wa Tunisia aliyejipaka rangi ashauriana na mtani wake wa Cameroon baada ya mechi jijini Younde huko Cameroon.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140717__71281307_02_cameroon_afp.jpg
Ilikua ni mechi ya marudiano ya kufuzu kwa kombe la dunia ambapo timu ya “the Lions” walishinda kwa mabao 4-1 na kujikatia tikiti ya kushiriki kombe la dunia mwaka ujao nchini Brazil. Kulikua na karamu na sherehe baadaye mjini Younde.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140729__71281309_03_algiers_reuters.jpg
Algeria pia walijikatia tikiti kucheza Brazil baada ya kucheza mechi ya marudiano, awamu ya pili siku ya jumanne kwa kuilaza Burkina Faso bao 1-0 ,ambayo ilikua furaha kwa mashabiki katika mji mkuu wa Algiers.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140912__71289002_11_sabricks_ap.jpg
Kulikua na mvua mkubwa Afrika Kusini Magharibi mwa mkoa wa Cape wikendi na kusababisha mafuriko sehemu kadhaa. Matofali yaliyotengenezwa yanavunjika pakiwa na maji mengi
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140927__71289126_13_mandelabooks_afp.jpg
Maonyesho ya kudumu ya nyaraka kuhusu maisha ya Nelson Mandela yalifunguliwa siku ya jumatatu katika kituo cha makumbusho cha Nelson Mandela jijini Johannesberg. Hivi ni vitabu vya Nelson Mandela alivyokuwa navyo gerezani katika kisiwa cha Robben alikokua amefungwa kwa juhudi zake za kupinga ubaguzi wa rangi. Aliachiliwa baada ya miaka 27, mwaka wa 1990 na kuwa rais wa kwanza wa nchi hiyo kuchaguliwa kwa miaka nne kupitia democrasia
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140959__71289177_14_mugabes_afp.jpg
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe na mkewe Grace wahudhuria sherehe ya mahafali ya binti wao Bona katika chuo kuku huko Singapore Jumamosi. 
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140857__71288998_09_mozambqiue_reuters_vendor.jpg
Pia Jumanne,kijana mmoja katika soko la Gorongosa katikati mwa Msumbiji anajikinga kwa kutumia mwavuli. 
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125141128__71291705_15_tunisia_reuters.jpg
Siku iliyopita, mwandamanaji nchini Tunisia avaa bereti na beji inayoonyesha picha ya aliyekuwa kiongozi wa Iraq Saddam Hussein,wakati wa maandamano dhidi ya muungano wa kiislamu unaoongozwa na chama tawala cha muungano katika mji mkuu Tunis.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140836__71288996_08_somalia_farmingchildren_bbc.jpg
Siku hio,vijana wawili wadogo wanalima shamba lililoko kando ya barabara kuu inayounganisha jiji kuu la Mogadishu na Baido lililo karibu na shamba lenye rotuba karibu na Afgoye inayojulikana kwa mavuno bora nchini Somali
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140812__71288994_07_somali_bossasso_afp.jpg
Walinzi wa Somal, wakishika doria katika fuo za bahari mjini Bosasso, katika eneo lililojitenga na Somalia la Puntland
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125140756__71282255_05_samburu_reuters2.jpg
 Katika kijiji kimoja Kaskazini mwa Kenya ,kijana asimama kando kando na fahali aliyenona kabla ya kuwasilishwa kwa kamishna mkuu wa Uingereza kutoka kwa jamii ya Wasamburu ya Nanuyak kama zawadi ili kusheherekea kuzaliwa kwa mwana mfalme George Mwakani.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125141041__71291636_06_kenya_reuters.jpg
Mji mkuu wa Kenya Nairobi uliandaa maonyesho ya magari siku ya Jumapili,huku gari aina ya Peugeot 203 ya mwaka 1959 ikiwemo kati ya ya magari 70 kwenye maonyesho katika uwanja wa mashindano wa Ngong.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/11/25/131125141103__71291638_10_mali_ap.jpg
Kijana mmoja katika jiji kuu la Mali Bamako,ajaribu kuyagonga mapera kutoka kwa mti siku ya jumatano. Uchaguzi wa kiubunge utafanyika nchini humo jumapili.