Jumamosi, 30 Agosti 2014

TAZAMA MAISHA YA WAKIMBIZI WA SUDAN KUSINI YALIVYO YA KUSIKITISHA

http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110037_01_then-976.jpg 
Zaidi ya miaka 10 tangu kuzuke mapigano Darfur zaidi ya wenyeji milioni mbili wamelazimika kutoroka makwao
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110041_02_now-976.jpg
Hamisa alitoroka nyumbani kwake mwaka wa 2003 baada ya wavamizi kuwashambulia na bunduki.Alitorokea milimani akiwa amembeba mmoja wa wajukuu wake 
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110045_03_darfurnow_976.jpg
Ukulima ndio uti wa mgongo wa Wasudan Kusini.Kukuibuka vita mifugo mimea na mali ya watu huporwa na kuharibiwa.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110052_4_aeriel-views.jpg
Kuna zaidi ya kambi 27 katika eneo la kati la Darfur
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110048_04_darfurnow_976.jpg
Kufuatia mapigano yaliyodumu kwa muda mrefu sasa wakimbizi wameanza kujenga nyumba za kudumu katika kambi hizo za wakimbizi wa ndani kwa ndani 
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110056_06_then_976.jpg
Amina (aliyevalia nguo ya kijani kibichi)anaonekana hapa miaka 7 iliyopita katika kisima cha Khamsa.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110058_07_now.jpg
Bado tunakabiliwa na changamoto tele baada ya kuishi hapa kwa zaidi ya miaka 10''anasema Amina ambaye mwenyewe anamtoto mwenye umri wa miak 9
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110102_08_976.jpg
Kupata mapato kambini ilikuwa ngumu sana wakati huo kwa Yusuf ambaye alikuwa amejifunza kuoka mikate . Kwa sasa ameoa na anafamilia ya watoto watatu.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110107_09_then_976.jpg
Haja akiwa na kifunga mimba wake Horan mwaka wa 2007 katika kambi ya Hassa Hissa 
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110110_10_now_976.jpg
Licha ya kuhama kutoka mako moja hadi mengine maisha bado ni yaleyale tu kwa Haja sasa yeye pamoja na wajukuu wake ni vijakazi wa nyumbani.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110543_11_then-and-now_976.jpg
Rawia alitoka kwakwe mikono mitupu pamoja na mumewe na wanawe .Alikuwa ni mabaki ya chakula na pipa la kutekea maji.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110546_12_now_newarrivals_976.jpg
Mapigano haya huko Darfur yanapembe tofauti kwa hivyo ni vigumu kusuluhisha. Kuna wale wanaopigana na serikali,kunawale wanaopigana kwa misingi ya Dini. Kwa mujibu wa UN zaidi ya watu 390,000 walitoroka makwao mwaka huu.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110549_13_darfur976.jpg
Mkataba wa kusitisha mapigano ya mwaka wa 2011 haukudumu kwani waarabu hawaamini wakristu weusi ambao wengi ni wakulima.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110553_14_darfur_nowhena_976.jpg
Wanawake wa Darfur wakijipaka Hinna tayari kwa hserehe kambini.
http://a.files.bbci.co.uk/worldservice/live/assets/images/2014/08/11/140811110556_15_darfur.jpg
Viongozi wa jamii wanapewa heshma lakini wanasema ukosefu wa ajira umepelekea vijana kuwapuuza na wakati mwengine hata kuwakaidi.
 
endelea kutembelea blog yako ya kijamii inayokuletea matukio yanayoikumba jamii kwa ujumla

Alhamisi, 28 Agosti 2014

TUNAENDELEA KUWALETEA MATUKIO LIVE KUTOKA HAPA UKUMBI WA ABIRIA TAZARA-MBEYA...UCHAGUZI MKUU TAZARA MBEYA SACCOS LTD

 Hawa ndiyo wajumbe tisa waliokabidhiwa jukumu la kuiendesaha TAZARA MBEYA SACCOS LTD
 Baadhi ya wanachama wakiwa makini wakifuatilia kinachoendela




 baadhi ya wanchama wakiwa wamembeba Mwnyekiti wao mpya Ndg Ally Mkami
Endelea kufuatilia

LIVE KUTOKA UKUMBI WA TAZARA MBEYA...MKUTANO MAALUMU WA UCHAGUZI TAZARA MBEYA SACCOS LTD

 Hawa ndiyo waliopita katika kinyang'anyilo cha kamati simamizi...kutoka kulia ni ndg Yunus Bashange..Peter Mushi na Rosemary Kinyaga
 Waliko mbele yenu ni wagombea nafasi ya ujumbe wa bodi ya chama...kila moja anajieleza kwa nafasi yake ili apate KURA kwa wanachama

 Afisa Ushirika Bi Masuba akitoa maelekezo namna wanachama wanatakiwa kupiga KURA


endelea kufuatilia matukio zaidi

LIVE MUDA HUU...LEO KATIKA MATUKIO NA BLOG YAKO YA KIJAMII...WANACHAMA WA TAZARA MBEYA SACCOS WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAO

Bi Masuba afisa ushirika mkoa wa Mbeya...kushoto kwake ni Meneja wa chama cha TAZARA MBEYA SACCOS LTD...Bwa Philemon Kaduma

 afisa ushirika mkoa wa mbeya Bi Masuba akifafanua baadi ya Ajenda za mkutano huu wa uchaguzi





Hawa ni baadhi ya wanachama wa TAZARA MBEYA SACCOS LTD wakisikiliza kwa makini
endelea kufuatilia
 hawa ni wagombea wa nafasi ya kamati simamizi...kutokaka kulia ni ndg Yunus Bashange, Bethuel Kagimbo, Rosemary Kinyaga na Peter Mushi


endelea kufuatilia

Jumatatu, 18 Agosti 2014

EBOLA...WAGONJWA WALIOTOROKA WATAFUTWA



Mmoja wa wanaume waliovamia kituo hicho na kumbeba mgonjwa
Kituo kilichotengwa na kuwekewa kwa sababu ya kutoa matibabu kwa wagonjwa wa Ebola, kimeshambuliwa na zana kuporwa katika mji mkuu wa Liberia, Monrovia.
Watu kama 20 hadi 30 waliowekwa hapo kuangaliwa kama wana dalili za Ebola walitoroka baada ya kituo hicho kuporwa Jumamosi usiku.
Kituo kiko kwenye mtaa wa West Point, wenye wakaazi wengi.
Washambuliaji walipora magodoro na vitu vingine.
Mwandishi wa BBC katika kanda hiyo anasema pengine washambuliaji walikerwa kuwa kituo hicho kimewekwa katika mtaa wao.
Mafisa wakuu nchini Liberia wanajaribu kuwatafuta wagonjwa waliotoroka ili kuwarejesha tena kwenye kituo hicho.
Watu zaidi ya 400 wamekufa kwa sababu ya ebola nchini Liberia kati ya zaidi ya 1,000 katika kanda ya Afrika Magharibi.