Jumapili, 6 Oktoba 2013

SHILOLE KAZI KWA KWENDA MBELE...SABABU ZINAZOMFANYA KUCHEZA NUSU UCHI AZIMWAGA


MSANII WA FILAMU NA MZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI SHILOLE,AMEFUNGUKA KWA KUSEMA ANAFANYA MUZIKI WA KUCHEZA NA WANAUME JUKWAANI ILI KUKIDHI MAHITAJI YA MASHABIKI WAKE WANAYOHITAJI KUTOKA KWAKE

AKIZUNGUMZA NA BONGO5 LEO AKIWA MOSHI, SHILOLE AMESEMA ANAFANYA AINA HIYO YA MUZIKI KULINGANA NA MAHITAJI YA MASHABIKI WAKE NA SI KWA KWA KUSIKILIZA MAWZO YA MTU MMOJA MMOJA YASIYOKUWA NA MANUFAA KWENYE KAZI YAKE.

"NAFANYA MUZIKI ANAOFANYA SHILOLE PEKEE YAKE, NA WAPENZI WAENGI WA MUZIKI WANGU WANAFURAHISHWA NA KITENDO CHA KUWAPANDISHA WANAUME NA KUCHEZA NAO JUKWAANI, HII INALETA MZUKA KWANGU NA WAPENZI WA BURUDANI..." ALIONGEZA

"NINAVYOWAPANDISHA VIJANA WA KIUME NA KUCHEZA NAO HUKU WAKINISHIKA NDIYO WANAONA HATARI? MBONA NI MAMBO YANAYOFANYIKA KWENYE SHOW MBALIMBALI, PIA ILI KULETA UHALISIA WA SHOW LAZIMA MSHIKANE KIDOGO, KWA WALE WANAOONA NAHARIBU NI WASHAMBA TU...."

SHILOLE HAKUNA CHA AIBU WALA NINI AMWAGA ZAWADI MBELE KWA MASHABIKI...CHEZA NAE UTAKAVYO

 
Jana ilikuwa ni zamu ya tamasha la fiesta Mjini Tanga.....Kama kawaida yake mwanadada Shilole hakosi vituko ....Safiri hii aliwapa nafasi mashabiki wawili kucheza nae jukwaani huku yeye akiimba .
 
 

Baada ya watu kuongea sana kuhusu jinsi Shilole anavyo fanya show zake na staili ya kuwapandisha wanaume jukwaani na kucheza nao kwa staili ya nisheke popote.


Amejitokeza na kuongea na chombo kimoja cha habari na kusema yeye hajivunjii heshima kama watu wanavyosema bali anakizi mahitaji ya mashabiki wake..."watu wanapenda sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha show jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani mashabiki wangu...."