Jumapili, 6 Oktoba 2013

SHILOLE HAKUNA CHA AIBU WALA NINI AMWAGA ZAWADI MBELE KWA MASHABIKI...CHEZA NAE UTAKAVYO

 
Jana ilikuwa ni zamu ya tamasha la fiesta Mjini Tanga.....Kama kawaida yake mwanadada Shilole hakosi vituko ....Safiri hii aliwapa nafasi mashabiki wawili kucheza nae jukwaani huku yeye akiimba .
 
 

Baada ya watu kuongea sana kuhusu jinsi Shilole anavyo fanya show zake na staili ya kuwapandisha wanaume jukwaani na kucheza nao kwa staili ya nisheke popote.


Amejitokeza na kuongea na chombo kimoja cha habari na kusema yeye hajivunjii heshima kama watu wanavyosema bali anakizi mahitaji ya mashabiki wake..."watu wanapenda sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha show jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani mashabiki wangu...."

Hakuna maoni: