Jumatano, 2 Oktoba 2013

LIVE KUTOKA MBEYA...ENDELEA KUFUATILIA KINACHOENDELEA HAPA MWANJELWA

Wafanya Biashara wakiwa wanajiandaa kusikiliza mkutano muda mchache uliopita na Ghafla vurugu kuzuka tena .... !
 
Polisi wakiwa wanasindikiza gari la matangazo ambalo lilikuwa likitangaza kuomba Vurugu hizo na maandamano yasiyo Rasmi yasimamishwe 
Ulinzi ukiwa unazidi kuongezeka kama inavyo onekana pichani Muda huu...

Taarifa za awali zinasema kwamba kuna mkutano wa Ghafla umeandaliwa hapo saa nane mchana ambapo wafanya biashara pamoja na wahusika kutoka Serikalini watakutana ili kujadili suala hilo la Mashine hizo


MBEYA YAGEUKA KUWA UWANJA WA MAPIGANO..!

PICHA LIVE: TAZAMA TUKIO ZIMA LA WAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA ZENYE THAMANI YA THS 800,000 JIJINI MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.

 Polisi wakiwa katika ulinzi mkali 
 Maduka yakiwa yamefungwa 
 Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yao
 Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
 Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
 Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
 Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia 
 Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
 Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....


KINACHOENDELA MWANJELWA MBEYA NI MAJONZI KWA WASIOJIWEZA


TAIRI ZACHOMWA OVYO OVYO
 
WAZEE WA KAZI NAO HAWAKO NYUMA NI MWENDO WA KAMATA KAMATA
 
HII NI MPAKA LINI JAMANI?
 
MABOMU YANAOKOTWA KAMA KARANGA  
 
MAISHA YANAENDELEA
 

UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2014..ARSENAL,CHELSEA ZANG'ARA


OLLIVIER GROUD AKIWANIA MPIRA KATIKATI YA MABEKI WA NAPOLI

AARON RAMSEY ALIVYOTENGENEZA GOLI LA KWANZA KWA ARSENAL

MIKEL ARTETA NA MESUT OZIL WAKIFURAHIA BAADA YA KUPATA USHINDI WA GOLI 2 BILA DHIDI YA NAPOLI
 
ZENIT O-O AUTRIA WIEN
 
FC PORTO 1-2  CLUB ATLETICO
 
 
CELTIC FC O-1 BARCELONA FC

AFC AJAX 1-1 AC MILAN
 
 
 
FC BASEL 1893 O-1 FC SCHALKE 04
 
 
RAMIRES AKIIPATIA CHELSEA GOLI LA KWANZA DAK 20,55"
 
STEAUA O-4 CHELSEA
 
 
 
 
BORUSSIA DORTMUND 3-O OLYMPIQUE DE MARSEILLE

Picha zote na Mwandishi Huru Blogs'