Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye.Miili
ya Rachel Haule 'Recho' na mwanaye ikishushwa kwenye gari maalum baada
ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina, Dar tayari
kwa kuagwa.Waombolezaji wakiwa na simanzi baada ya mwili kuwasili Leaders.
(PICHA NA RICHARD BUKOS, DENIS MTIMA, MAYASA MARIWATA, SHANI RAMADHANI, HAMIDA HASSAN, IMELDA TARIMO/GPL)