Jumanne, 10 Septemba 2013

MISS TANZANIA Brigitte LYIMO ACHEMKA VAZI LA UFUKWENI...ALUTA CONTINUA

AMESHINDWA KUINGIA KATIKA KUINGIA KATIKA HATUA YA 11 BORA YA VAZI LA UFUKWENI ,AMBAPO MISS TZ HATA 33 BORA ZA AWALI YA SHINDANO HILO HAKUFUZU 
LAKINI PIA KATIKA MAKUNDI YA MASHINDANO YA VIPAJI VYA MICHEZO MISS WETU WA KIBONGO HAKUFUA DAFU..
Sports Eliminator
HAKUFANIKIWA KUFIKIA LAKIN MISS TZ BADO ANAYO NAFASI KATIKA SHINDANO LA TOP MODEL LITAKALOFANYIKA SEPT 20,TALENT COMPETITION NAWORL FASHION DESIGNE AWARDS

FIESTA DODOMA

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/09/119.jpg
2

4

9
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/09/82.jpg

UKISTAAJABU YA MUSA......?


Photo: Katika hali isiyo ya kawaida, mbunge mmoja nchini Jordan alifyatua risasi (AK-47) ndani ya bunge baada ya kutokea mabishano kati yake na mbunge mwenzake ambaye ni Spika wa bunge.

...Imekuwa ni kawaida kwa Wabunge wa Jordan kushikana mashati na kurushiana ngumi.

Endelea kusoma zaidi hapa => http://bit.ly/1eAODG4

Katika hali isiyo ya kawaida, mbunge mmoja nchini Jordan alifyatua risasi (AK-47) ndani ya bunge baada ya kutokea mabishano kati yake na mbunge mwenzake ambaye ni Spika wa bunge.

...Imekuwa ni kawaida kwa Wabunge wa Jordan kushikana mashati na kurushiana ngumi.

Mke akatwa mkono na mpenziwe


Mchali akionyesha mkono aliokatwa
Baada ya kuwa katika mapenzi na mwanaume huyo kwa zaidi ya miaka 17, wakipendana na kuitana majina yote mazuri unayoyajua yakiwamo kuambiwa ‘mpenzi wangu nakupenda, nikinywa maji nakuona kwenye glasi’…leo mapenzi yamegeuka shubiri.

Mkasa wa mwanamke kukatwa mkono
Ilikuwa Agosti 7, mwaka huu, saa mbili usiku. Ilikuwa ni siku iliyobadili historia ya maisha yake. Baada ya kuwa katika mapenzi na mwanaume huyo kwa zaidi ya miaka 17, wakipendana na kuitana majina yote mazuri unayoyajua yakiwamo kuambiwa ‘mpenzi wangu nakupenda, nikinywa maji nakuona kwenye glasi’…leo mapenzi yamegeuka shubiri.
Mwanamke huyo, Mchali Kihiyo (35), mama wa watoto sita, aliyepoteza viungo vyake kutokana na ukatili wa kijinsia uliofanywa na mwanaume ambaye wamekuwa na uhusiano nae (jina limehifadhiwa).
“Uhusiano wetu ulikuwa mzuri, hata hivyo kwa sasa naona mambo yamekuwa magumu kwangu, leo hii mimi sina mkono wa kushoto na nimeondolewa sehemu ya viungo vyangu vya upande mmoja,”anasema Mchali,akibubujikwa machozi kutokana na ulemavu alioupata.

Chanzo cha ulemavu
Anasema maisha yao ya uhusiano yalikuwa ya furaha kwa kipindi chote lakini