
Waakazi wa Kaskazini mwa Kenya wakicheza dansi kabla ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua au Solar Eclipse kwa kimombo

Wazee wa jamii ya Rendile wakishuhudia tukio la kupatwa kwa jua

Mwanzo wa tukio la kupatwa kwa jua

Giza angana baada ya jua kupatana na mwezi

Mama mmoja kutoka wa Kiturkana akitizama jua likipatwa na mwezi

Jua likipatwa na mwezi tukio ambalo hutokea mara moja tu baada ya karne kadhaa

Tukio la kihistoria la kupatwa kwa jua au Solar Eclipse kwa kimombo,
hali inayofanya Mwezi kuuziba jua na kuzuia mwangaza duniani

Mama kutoka jamii ya Turkana wakitizama angani wakati jua lilipokuwa
likipatwa na mwezi huu wakitumia miwani maalum ya kuzuia miale ya jua

Muda mfupi tu baada ya tukio la kupatwa kwa jua angani

Wamama wa jamii ya Dazanach wakishuhudia tukio la kupatwa kwa jua

Wakaazi wa Kaskazini mwa Kenya baada ya kushuhudia tukio la jua kupatwa