Ngozi iliyofunikwa jeneza la Mandela kama ishara ya umuhimu wa Mandela katika jamii ya watu wa Thembu
Kuambatana na tamaduni za watu wa Thembu ukoo wa Mandela, jeneza la mfu
hufunikwa kwa ngozi ya Ng'ombe ishara ya umuhimu wake katika jamii
Waliokuwa wake za Mandela walikesha usiku kucha kabla mazishi kufanyika leo
Wageni mashuhuri walifika hapa kumuaga Mandela akiwemo Oprah Winfrey na Richard Branson na wengi wangineo
Ukumbi huu maalum ulijengwa kwa ajili ya kufanya maombi kabla ya mazishi ya Mandela
Msafara wa wanajeshi waliosindikiza jeneza la Mandela
Wanajeshi hawa walisindikiza jeneza la Mandela hadi katika ukumbi maalum ambako ibada ya kumuaga Mandela ilifanyika
NB niataendelea kukuhabarisha kinachoendelea
visit www.mwalyegoalex.blogspot.com