Alhamisi, 28 Agosti 2014

TUNAENDELEA KUWALETEA MATUKIO LIVE KUTOKA HAPA UKUMBI WA ABIRIA TAZARA-MBEYA...UCHAGUZI MKUU TAZARA MBEYA SACCOS LTD

 Hawa ndiyo wajumbe tisa waliokabidhiwa jukumu la kuiendesaha TAZARA MBEYA SACCOS LTD
 Baadhi ya wanachama wakiwa makini wakifuatilia kinachoendela




 baadhi ya wanchama wakiwa wamembeba Mwnyekiti wao mpya Ndg Ally Mkami
Endelea kufuatilia

LIVE KUTOKA UKUMBI WA TAZARA MBEYA...MKUTANO MAALUMU WA UCHAGUZI TAZARA MBEYA SACCOS LTD

 Hawa ndiyo waliopita katika kinyang'anyilo cha kamati simamizi...kutoka kulia ni ndg Yunus Bashange..Peter Mushi na Rosemary Kinyaga
 Waliko mbele yenu ni wagombea nafasi ya ujumbe wa bodi ya chama...kila moja anajieleza kwa nafasi yake ili apate KURA kwa wanachama

 Afisa Ushirika Bi Masuba akitoa maelekezo namna wanachama wanatakiwa kupiga KURA


endelea kufuatilia matukio zaidi

LIVE MUDA HUU...LEO KATIKA MATUKIO NA BLOG YAKO YA KIJAMII...WANACHAMA WA TAZARA MBEYA SACCOS WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAO

Bi Masuba afisa ushirika mkoa wa Mbeya...kushoto kwake ni Meneja wa chama cha TAZARA MBEYA SACCOS LTD...Bwa Philemon Kaduma

 afisa ushirika mkoa wa mbeya Bi Masuba akifafanua baadi ya Ajenda za mkutano huu wa uchaguzi





Hawa ni baadhi ya wanachama wa TAZARA MBEYA SACCOS LTD wakisikiliza kwa makini
endelea kufuatilia
 hawa ni wagombea wa nafasi ya kamati simamizi...kutokaka kulia ni ndg Yunus Bashange, Bethuel Kagimbo, Rosemary Kinyaga na Peter Mushi


endelea kufuatilia