KITUO CHA RADIO ROCK FM 96.9 MBEYA CHASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA MITATU NA KUTOA ZAWADI KWA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA TUMAINI UYOLE MBEYA
Mkurugenzi wa kituo cha ROCK FM 96.6 Allen Ezekia akiwakabidhi zawadi watoto wa kituo cha tumaini |
Mkurugenzi wa kituo cha Tumaini Elias Katani akipokea zawadi kwa niaba ya watoto wa kituo chake toka kwa mkurugenzi wa ROCK FM ya jijini Mbeya |
Watoto wa kituo cha tumaini wakishukuru kwa zawadi walizopewa na kituo cha ROCK FM |
Lawena Nsonda amewatka wadau mbali mbali kujitokeza kuwasaidia watoto yatima kwani ni jukumu letu sote katika kuwalea |
Mkurugenzi wa kituo cha Tumaini Elias Katani akishukuru kwaniaba ya watoto kwa zawadi walizopatiwa na Rock Fm 96.6 |
Mratibu Elimu kituo hicho Obadia Mbilinyi akisoma taarifa fupi ya kituo hicho cha Tumaini |
Mara baada ya kutoka toa zawadi kwa watoto yatima sherehe iliendelea katika viwanja vya TIA Mbeya |
Moja ya watangazaji wa Rock Fm Harubu Kabwe akimkaribisha mkurugenzi wake aje apate keki katika sherehe hiyo |
BABA MZAZI LAWENA NSONDA akimlisha keki mkurugenzi wa ROCK FM 96.9 Allen Ezekia katika sherehe ya kutimia miaka 3 sherehe zilizofanyka katika uwanja wa chuo cha TIA Mbeya |
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo BABA MZAZI LAWENA NSONDA akiwahutubia wananchi waliohudhuria sherehe za kutimia miaka 3 ya kituo cha ROCK FM 96.9 |
Burudani mbali mbali zilikuwepo katika sherehe hiyo ya kutimiza miaka 3 ya ROCK FM 96.9 |
Dachi Nationale Band wakitumbuiza katika sherehe ya kutimiza miaka 3 ya ROCK FM 96.9 |
Watangazaji wa kituo cha Radio ROCK FM 96.9 wakiwa katika picha ya pamoja Na Mbeya yetu |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni