
Mh. Philemon Mbowe
Kiongozi
wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya Bunge,
baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh
Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa
nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia
isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP. Upinzani Bungeni unadai muswada wa
katiba 2013 unamapungufu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni