Iringa yasusia Mashindano baada ya kulazimishwa kucheza na kufungwa na Mbeya City
Iringa FC Kopa Coca Cola wakitoka uwanjani wakiwa hawaamini kilichotendeka dhidi yao
Mbeya City FC chini ya umri wa miaka 15 Kopa Coca Cola
Mbeya City FC chini ya miaka 15 kopa Coca Cola wakiwa katika nyuso za furaha baada ya kuichabanga Iringa Fc katika viwanja vya Iyunga Mbeya
Baadhi ya wapenzi wa mpira wa miguu waliofurika kuangalia michuano ya Kopa Coca Cola viwanja vya Iyunga Mbeya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni