
Polisi wakimsindikiza kwenda nyumbani wakiwa na gari la wagonjwa


Siku moja baada ya kutolewa hospitali Mzee Mandela akiwa nyumbani siku ya Juma Pili lakini serikali ya Afrika Kusini imesema hali yake bado ni mbaya
Mzee Mandela alisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 95 akiwa kalazwa hosipitali akiwa hajitambui
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni